KMC FC TAYARI WAPO JIJINI DODOMA KUWAKABILI JKT TANZANIA.

Kikosi cha Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC tayari kimewasili jijini Dodoma kikitokea Mbarali Mkoani Mbeya kuwakabili Mafande wa JKT Tanzania mchezo utakaopigwa Disemba 23 katika uwanja wa Jamuhuri  Jijini hapa. KMC FC ambao ni wageni katika mchezo huo watakuwepo Jijini hapa kwa ajili ya kujiandaa na mchezo huo na hivyo kuhakikisha kwamba wanaodoka